honesty still exists

The mechanic who recently went viral for returning KSh 3 million that was sent to his account by mistake was given KSh 14k reward.
It was a gesture that received love and criticism in equal measure, with some saying he did the right thing to give back money which wasn’t his.
Others, however, opined that KSh 14k was a reward too little because the mechanic could easily have run away with all the million

That mechanic will probably face ridicule for the rest of his life…“yule mjinga alirudisha 3M akapewa 14K…”

In Kenya if you get a job where there are chances of enriching yourself and you dont, unaitwa fala.

Kama angekuwa msee wa liberal arts/social sciences angezichukua.

Tukiwa wawili upotezee thao nirokote nikatae kurudisha useme uni search unipate na thao mbili hakuna venye utaniskiza moja ni yako…so…

Great guy!

But bonobozz being bonobozz they must bonobo…before proceeding to whine and rant how their leaders are thieves…

Leo nilipata 200 kwa stage tao ningefanya nini ?

Hiyo unakula roho safi coz you don’t know the owner…

Hata mimi nilirudisha

Do you mind explaining?

Juzi nilipata ten bob kwa kiti ya matatu nikachukua ,life ni tough, ten bob naeza pelekea mama ya @PHARMACY ikue kama deposit

Hehe, bank hufuatilia.
Ukitumia pesa via mpesa and spend it nikama zako utashikwa seuza 3 million kwenye benki?

Kuna Jamaa aliwekewa millions but hakuwa anajua, alikuwa anapigiwa tu simu na bank ndio baadaye akambiwa ni Doo alikuwa amesundiwa. Huwa ni Doo inafichwa na bank officials. Ni Doo ya wizi, so ukipatana nayo tumia.

Hawa wasee nomaree hukuwanga na bad character

Tenda wema nenda zako

mimi singerudisha twende kortini nipewe bail ya 50k then kesi ikae 20 years then tusikizane nikulipe thao per year

This is why our country is fucked up. We all have this mentality

Ooh pia nilipata bao kwa kiti ya mat nikaongeza kwa fare:D they were charging 70.