Honda Vs Toyota Brands Comparison

Toyota Pros
[ol]
[li]Spares are readily available and in many models they are interchangeable[/li][li]Reliability[/li][li]Affordable[/li][/ol]
Cons
Thief magnets

Honda Pros
[ol]
[li]High safety standards[/li][li]Better build quality[/li][/ol]
Cons
[ol]
[li]Haipendi garage ama fundi Jua Kali[/li][li]Expensive spare parts[/li][/ol]

Kile nimeona hii Kenya ni kwamba Ile kitu ina determine the car that you can comfortably drive ni uzito wa mfuko wako. If I had the means I would go for an expensive European machine that’s not driven by every Tom Dick and Harry but now that my financial ability is limited, I have to make do with a basic Toyota. Hii maneno ya comparing makes and models ni ya peasants.

European cars are good but zikizeeka ni money pits.

Volvo, BMW etc are only good ukiwa na warranty ya manufacturer.

Siku hizi hata tractors ziko na Software wazimu. Ikidai service mpaka upatie service. John Deere ama CAT ikiwasha Check Engine light unainama mzeiya.

Na zile Mercedes W124 mzee in French West Africa na kule Morocco being used as Taxis?

Hizo zinagonga million miles na bado hazichoki…zinachapa job kabisa kuliko Isuzu ya @Yuletapeli

Some european cars will easily give the famous Toyota reliability a run for its money

[ATTACH=full]477961[/ATTACH]

[ATTACH=full]477957[/ATTACH]

[ATTACH=full]477956[/ATTACH]

These are analog cars. Hazina comp ni manual injectors.

Peugeot pia ni Mingi Sana West Africa due to French influence

Huku ni wapi, Mercedes Benz zinapiga kazi ya tagzi :D:D

Isuzu new model inakaa msuri but can be costly to maintain…zikona turbo.

Shifo uliuza ranch na ilikuwa imekuweka kwa mbirrionaire category

Huku ni Burkina Faso na Morocco mkubwa

Didn’t know that. So hata heri ukae na model mzee kidogo

Kwani mmesahau benz za Kenatco? Their fleet was exclusively benzes vile tu mnaona hizo pics za muthafari. I can’t imagine they weren’t reliable cos they were used for so long.

Model mzee ziko sawa, easy to maintain, na sahi unapata gari swafi na 2.1-2.5 million, gari inakusukuma for another three years unauza unashika ingine