Honda Stream vs Toyota Wish vs Volxwagen Touran

Nani alisema ilikuwa Prado?
Ama the only 3 litre turbo charged car unajua ni Prado?

If you drive at 70km hata trailer zitakuonyesha dust.

Probox hii niko na experience kibao mingi saana, ata jama wa nduthi repairs can help in case of problems.