I hear wish is very unstable at high speeds
High speeds unakimbia wapi, kwani kuna moto unaenda kuzima?
1 Like
Si unajua Wakenya na ujinga wa kukimbia kimbia kila mahali na 2000cc. Kila time, “get a bigger car, hakuna mtu atakushika kwa bara bara!”
1 Like