1 Like
…Yani pale central ukitaka tu kuaminika na raia you buy them food. Food tu!
Kuna nyangumi ili feed wasee chapati kavu pale kiambu ma time za campaigns.
5 Likes
mchele nyama gang
4 Likes
inaeleweka. Soda na chakula ni jambo kubwa sana kwa watu wa central kenya.
4 Likes
Na tunasumbuliwa na hao wa central ati luhya people live to eat…kumbe they are worse.
1 Like
Mbona Okuyu hateti?
So ajabu vaseline husaidi just 50bob