This is proof that a home birth is the ‘safest’. No cases of swapping babies. Hata Meghan Meko, Bibi ya Harry, has said she will give birth at home.
[ATTACH=full]234405[/ATTACH]
Otherwise, utajikuta unalea mtoto ya @digi ukifikiri ni wako.
Interesting, huwa naskia ya kwamba ukipeleka your preganant chik/wife hospitalini and they know you are well off they always recommend c section eti the baby or mother will die if you dont kumbe wao wanataka tu hela.
Exactly. I know of a friend whose wife was okay all along her pregnancy. On the day of labour onset, the doctor told her that her pressure was too high and she could only deliver through cs. Yet she had never experienced such a problem throughout the pregnancy.
Home births can be quite dangerous to the hustlers pia, what happens when the child is born with complications do they bring equipments from the hosi to a hut ambayo haina hata stima(asante jubilee) itabidi wa tu mpeleke hosi na wakifika huko sijui watambiwa mtoto alidedi kumbe mtoto alipigwa bei. Hiyo ni nuksi sana.
niaje hao ma twins wanafanana na @digi ?
Ni sisters wake.
In case of no complications, there is no chance of baby swap in a home birth.
True.
sasa mtu akienda Uhai Neema Hospital kuzaa,whati du yu ekspecti?
Sikuwa nimeona hivyo ni ukweli
That hospital is good. Ama uko na hekaya?
Same na icu… Niccur dies days ago but wanakushow bado ako kwa machine sijui coma etc… Bill inaendelea tu ku run… Days later family asks for a harambee to offset the bill kumbe jamaa had died kitambo na hospital does not want any idle machines around
If a woman is under the care of a mkunga for the entire pregnancy hawesi kuwa na shida.
Ama unapata harefuki juu ni wa…
Kweli sisi kama watu na pia kama wakenya tumeoza. I never knew that.
:D:D hii umetoa kwa ngoma ya jaguar.
P_________________e
anyast
Hahahaha!