Home Alone

Hii wikendi nitakuwa home solo juu housegirl atapewa off na mathe ataenda ushago kuna event.

So mathe amepanga aende on friday mchana arudi Sunday jioni. Msichana wa kazi naye hadi monday morning.

So mathe ameniwachia 3k ya chakula na some other expenses. Na plus juu ataenda na bus atawacha gari yake.

But mimi ni nani napanga niite lanye sleepover on Sato jioni mnitumie pics na namba za lanyes.

Nataka nifanye interviews ya malanye nipate preferred candidate.

A plus size is an advantage.

5 Likes

unataka kuleta lanye kwa hou ya mathe?

Aiiiii Bana!!!

5 Likes

Mamake ameombea nyumba akaombea kijana wake mkubwa apate kazi bado anaishi na yeye akipewa pocket money halafu ghasia inafikiria ni kuleta washerati age ya her mom kwa nyumba yake :green_emoji: :green_emoji:

9 Likes

So tuende lodging

Tafuta Dem, uletee.

Kama huna, inbox nikutumie no. za vienyeji kadhaa.

Hasra Tawara

The LGBT generation.

1 Like

Swara kabisaaa to that family banae, hii humbwer haijui after kutomba Malaya huwa tunatolea hizo cloths kwa mlango tukirudi hau na kuingia na mgongo kumaliza mikosi ?

4 Likes

Hii Kenya talk imejaa makondoo tupu. Unaanza umalaya ukiwa kwa mama yako kijana uko na akili kweli???anatumia kinyesi kufikiria ama ni kulaaniwa na watu wa kwenu???

Jiheshimu bana. Unaeza aje leta lanye kwa nyumba ya mamako? Deal with your demons huko nje.

2 Likes

UTAHAMA LINI?

Hapana jaribu, lanye atafanya drama kwa hao ya mukuro, and worst is aku drug upate keja iko safi, utafanya mukuru aanze kumeza dawa za pressure na diabetic… Kama unataka poa enda ukulane nnje ama ukule dem mwenye si lanye , neza ku link na mmoja random ,umuanze pale tik tok ,huyo uneza kamua hata kwa park and chill

2 Likes

Kumbe wewe ni 40 year Mzee hajawai hama. Meffi. Hawezi nishow any

1 Like

Tuna mtoto mjinga kweli humu ndani. Tragedy to be a bastard. Hata @gaines hajawahi kuishi maisha ya kipuzi hivi

2 Likes

Kwani mathe ameenda sleepover kwa ndume mwenye si babako?

1 Like

Tafuta pesa na uache kueneza umalaya kwa nyumba ya mamako.

Cursed creature

tungoje “nairobi man drugged. robbed and ra[ed in mothers house” pale nairobian :green_emoji:

You’re pathetic, concentrate on getting your own place first

After carefully reading the replies i have decided i will not bring or smash a lanye in her house.

Let me respect her house and car.

So i will just eat listen to music and i want to create posters via canva.

I want to try car rental advertisement

2 Likes

How old are you, kijana? You have a troubled soul, son.