HOLIDAY

Sasa wanakijiji mnaonaje? Monday Ni holiday ya kwenda nyumbani,Tuesday ya kupiga kura na Wednesday kaseason finalle ya kurudi town? Mnaonaje?
Ama next week yote Uhunye atuspoil na kivacation!!

Atuspoil na kivacation the whole of next week.

Yaani vile works ziko mbaya bado mnaota vacation. Mimi ni kura na kuregea hustle saa hiyo hiyo.

The vacation we mean going home, besides voting, do some developments at home such as farming, building, part time jobs e.t.c. Not drinking the whole week.

Hizi ndo gani kasee. Ku work kwa desert everyday ni vacation

Nimerekebisha kasee!

Naona pia TZ ni holiday.
Are they planning to join us or it’s to assist Nasa in tallying?
[ATTACH=full]115824[/ATTACH]

Hapa Kuna maneno

so monday ni holiday ama mnasema nini?