Eid ul hadaa on Monday.
Swafii bingwa.
Office wakas mko na shida sana. Doing things you don’t like or love for a paycheck. How miserable must you be to celebrate an opportunity not to show up for work for which you are paid to do? Anyway, hayanihusu goti wala uti wa mgongo.
Great!
UNGESOMA KWA BIDII SI KUSHINDA THE WHOLE DAY KWA MAPERA
Hazinaneffect kwetu tutarauka kama kawaida economy lasima isukumwe na kila mtu mahali alipo. Tingisha mti
Kaka, hio ndio siku you do personal stuff. Ufundi kidogo hapa na pale, una fyeka nyasi, unaunda vitu hakuna as a way of relaxing…and it feels good.
Hakuna kitu uniudhi kama long holidays.
Kwanza when they begin on a Friday and end on a Monday. First of all ,banks are closed and then some people just weasel out from making payments or deliveries. It sucks.
So you are that type who keeps on looking for holidays? Umefungwa wapi hauna freedom?
Tunaenda kupigia mwili pole any other questions
Hata watu wa juzalisha ngamia kama wewe mko employees so what exactly is your point?
Sisi birrioneas ambao tuna mbiashara zetu hatutambui
mimi mwenye nalipwa na hours worked hapana tambua hizi upuss, the only holiday nachukua ni ile ya Christmas, we are a peasant nation, hizi holidays inaumiza tu uchumi
Adha.
“Hadha” means “this(is)” in arabic.
Tumia holiday vizuri madam, hio siku enda home relax zima telephone and just focus on what makes you feel good.
What’s mobile banking for.
For small transactions.
Kwani wewe ni billionaire
E
Even when they show up in offices, they do little. They are a burden to the public.
My dairy cows still need to eat and my crops still need to be irrigated