HODI HUMU......CCM HOYEEEEEEE....!

Just joking…!

Wazee wa buku 7 na huku mpo?

chama cha wachawi

mbere kwa mbere

[ATTACH=full]176016[/ATTACH]

Tutembee vifua mbere na wazi tupo.kwenge rite traki…hivi wale wakenya waliosema wanamuomba magufuli akawe raisi kwao bado wapo?

mamaye ccm.

Sisiemu

Halafu watufate na huku!

Napima UPEPO tu Mkuu…I hate hicho kinachoitwa CCM

Nadhani wamebadiri uelekeo.

A new villager nami nimefika

Karibu Mkuu

CCM ndo NAniiiiiiiiiiii?

CCM hoyee.
Kidumu chama cha Mapinduzi

Hata huku kwa uhuru kidum

https://www.youtube.com/watch?v=4MXaiV7vJ-I

Teh Teh

Hahaha huenda hawapo tena baada ya kuyaona mabaya anayowatendea wananchi wake

D

Dah!