Hodi Hodi

Ndugu watanzania wenzangu kwema hapa,hivi JF itarudi lini hewani?

Kesho mkuu.

Hahaha naona unamtia moyo mwanakijiji mpya.

Kuwa mpole mkuu, itarudi tu. Hakika akina Melo wanalishughulikia ipasavyo kuhakikisha tunarudi hewani kwenye jukwaa letu jf original.

Usiongee tu kutiana moyo bure…

We furahia tu maisha mapya ukimbizini, ikirudi hewara, isiporudi basi…

Inabidi kufunga na kusali sana labda ndio itarudi

Mkuu sigara Kalii Karibu tena

Mimi ni Sigara bwege karibia mkuu.

asante mkuu

Ata Max mwenyewe hajui

karibu mkuu