Hodi hodi, naingia, Nyani Ngabu Halisi kutoka BCS Times, JamboForums, hatimaye JamiiForums.

Nadhani ameona watoto hawachomoki ikabidi ajiongeze,aah haaa

Kwa huu uhamisho Tz to Kenya mengi yatatokea, wengi tutaingizwa kingi teh

means wanakukubali uko juu… next level unawabamba ndomana wakaiba id…
Hawajiamini wajinga hao

cc @Smart911

Karibu sana mkuu

Noma sana Komredi!

Naona safari hii JF nayo imekula bonge la ban!

Kuna wakati flani hivi nilianzisha uzi mmoja hivi - Nataka Rais Magufuli Ashindwe [ nadhani kichwa cha mada kilikuwa hivyo].

Kwenye huo uzi nikaweka bayana kuwa nataka ashindwe kwenye nini. Kuna siku akiwa anahutubia alisema anatamani malaika siku moja ashuke aifungie mitandao ya kijamii nchini.

Ndo baada ya hapo nami nikaja na huo uzi ambapo nikasema nataka ashindwe kabisa katika hiyo azma yake ya kutaka/ kupenda akiona malaika akishuka na kuifungia mitandao.

Kama ilivyo ada ya walimwengu, ama hawakusoma na kuelewa nilichokiandika au hawakukisoma chote.

Wakadhani nataka tu ashindwe kwenye kila kitu.

Sasa baada ya hii ban JF nadhani sasa watu watanielewa nilichokuwa namaanisha wakati ule.

Panapo majaaliwa, siku hiyo ban ya JF itapoisha na sote kurudi tena jamvini, nitalifukua hilo kaburi.

Wenye akili zao natumai watanielewa [naamini walishanielewa tokea mwanzo] na wale wengine wenye akili za kushikiwa wataendelea kuwa kama walivyo.

Otherwise, hawa wezi wa swagga nawatukana…papuchi za waliowazaa!!!

J’tatu njema.

It must be!

AMENIKULA HUYO JAMAA

Umenchekesha

Hivi hatuwezi anzisha mbadala wa JF? Mpaka tunakuwa wakimbizi! Ndo maana tunaitwa wanavijiji

Ngabu utakuta ulijidukua mwenyewe bana kama kawaida yako!!

Well, mods wanaweza kulithibitisha hilo au la!

Sina sababu ya kufanya hivyo.

hahahahaha hata hii sio wewe Ngabu mbona umekuwa mpole hivi hahahaha
nilishajiandaa na bonge moja la shushu la ngeli ya hatari…!

Pamoja chief!!

Naukumbuka ule uzi wako Mzee,

Japo ulikuwa mtu wa kuunga mkono sana juhudi za Mzee Jiwe toka mda ule

Ipo siku utafungwa

yeah kuibiana id mambo ya Kishamba Sana. unafaidika nini sasa!!??

Cc @Smart911

Oh naona nimekutekenya umeruka kama mwali.

Pole bibie.

Hainiumizi kiviile… maana we mwenyewe huna mpango wa kunizawadia papuchi yako

Ukiona mtu anakuiga jua ya kwamba anakukubali kwa namna moja ama nyingine.

Ha h h h h babuu ume nifurahisha kitheeeeeng

Mkuu post thread ukitukana kwa kizungu ndio nitajua ni wewe kweli