[ATTACH=full]449230[/ATTACH]
Unaingia stadium ukiwa mlevi? siutasumbua
How I wish Africans will learn from Arabs, hii tabia ya kulamba wazungu matako imekuwa too much in vumbistan
No beer…no fornication…It’s World cup…not hump cup.
When you go to Rome…Kama huwezi fuata sheria na masharti ubaki kweni u-watch kwa TV.
Wacheni ulevi kwenu. Pigskins zitalia sana kwanza English and Germans
One thing I like about Nigerians, they don’t kiss white ass too much like us Kenyans.
Most of the wazungu who are biggest fans of football may decide to keep off the event
The tickets are already sold out Mdau.
Accommodation pia nasikia ni shida, hotel rooms are not enough.
viva de la arabiya!
Arab world wataona world cup next in 150 years.
says an african
Hao peeps wana jiheshimu…niliona uko ata hawatambui dollar…unaweza zunguka na dollars sana zikiwa Kwa mfuko kabla upate place unaweza nunua kitu…wakibadilisha ni ki matharau 1=2.5 riyal…no wonder huwa hawatishwi na mzungu:cool:
The best thing is hakuna LGBTQ chieth. Imagine world cup in current Bidenstan? Ushoga imagery itajazwa stadium.
So hakuna advert ya tei?[ATTACH=full]449281[/ATTACH]
game ya Gor N AFC Nyayo stadium tunawekanga changaa/Jameson ndani ya box ya minute maid na kumumunya polepole , game ikiisha ni kuingia Nairobi west mall na ku celebrate loss/win pamoja roho safi
Sa urabuni ni ngumu kumumunya pombe wanajua huleta emotions
1 game = 2hrs( settling time, half-time + injury time in both halves).
Ukipiga flush Jameson 500mls hapo nche ya pitch kisha utupe hiyo chupa, that will take you through the match comfortably.