hizi spas/beauty parlours zinanukisha kitunguu

ni wangapi wamefanya hii biashara? najua wengi hutumiwa na wash wash but kufanya research naona naweza nukisha kitunguu. niko na pesa. maoni?

Uko na pesa ngapi?

Enda ujaribu kwanza

Not an easy business. Drainage zinajaa cd, vita kati kati ya madame, spa zingine zinaseti competitors kwa karao that ni brothel, karao wanataka zao. Ni biashara poa but inahitaji proper management. Hawa madame wanapewangwa one day off per week coz ukiwapea off mingi wanacut deals na client wanawameet kwingine. But ikona doe. The top spas in westlands have around 25 ladies each na kila dame akona target ya kuleta 100k per month.

The problem with Kenyans investors they don’t do research about the biz they plan to open. They invest based on other People idea. Wakiskia kitu Iko na pesa wanaingia na Miguu yote. They sink their capital without necessary skills. Halafu wanachomeka.

Secret is to start small.

Kenyans don’t know this business doing well started from backyard,hobby or a side hustle. Ikishuka you go big. Wengi wakiskia kitu Iko na doo wanafurika. Kwanza Ile scam ya quail @Motokubwa na @ChifuMbitika walinyoroshwa proper.

Hehe, hio ya quail iliisha tu hivo. An egg ilikuwa inatoka 110 :smiley:

True unaskia mtu alisema…hio biz Ina doh , brayo alianza two years ago Sahi anaendesha —(fill the gaps)-- na ana ishi kwake. Lol…pathetic