Hizi shati

[ATTACH=full]241523[/ATTACH]naweza pata wapi hii material nijishonee shati kama hi

Inbox @Randy, the man seems to know some fine details of the city.

enda pale ali express utapata variety. ready made

CC @Motokubwa unaitwa hapa

Ushawai import?..sizing…tax?

Enda Eastleigh Amal plaza 2nd floor na 1200 zimejaa uko.

Kwa hivyo @Randy ndio mwanamke wa hii kijiji

What are you talking about?

anasema unajua muchene yote ya hii town

Yep, information is power.

he he he ,thanks lakini mambo ya materials za nguo sijui

Kuna referral zingine only wamama tu ndio wanajua

information gani?usione nimenyamaza ufikirie nilisahau,siku moja tutakutana na hio siku kitaeleweka

Na nguo za kushonewa ngozi za wanyama?

come again?

Wambusheri reke nguurie ri, kai wi rambo kana commando tundu ni urenda mbara na andu oothe?

Biashara street, nyairofi ya rugongo

Kwa ivo wewe ukiambia Watu kwenye unanunuanga boxer za mtumba ulikuanga na umama!

Ngombe naeza kutumia pin ya mahali nitakua kesho ukuje shenji!

Yako najua inakaa namna hivi saa hii.Nikutumie pin ya ile shop mimi huendea.You should have atleast 10 boxer,sio moja tu na wewe ni msee wa route 11 na mijengo

[ATTACH=full]241561[/ATTACH]