Hizi nugu zinapenda unnecessary seeking attention

1 Like

What is going on?
Who are the nugus.

10 Likes

fafanua zaidi. Hatuna idea ao ni akina nani.

io ni kipindi gani? nimekaa sana bila kuangalia tv

3 Likes

Content yao ni kuzaa watoto na upuzi ya sijui face reveal. Women who were majority of their followers washachoka na hizi antics zao.

Moving forward unless they look for new content, their finances will take a serious blow. Ongezea Kabus who were sponsoring those holiday getaways zao washasplit, its not looking rosy kwao

6 Likes

Are they related to Ruto? Tuwachambue…Kwanza tuanze na hio ni tax yetu

2 Likes

Enyewe mbitika unakuwanga na umama. Sasa awa uliwajulia wapi

10 Likes

Mbitika pia wewe uingie gym uwache umama

5 Likes

Very true.

2 Likes

Ombwakni hawa watu hawana majina? What is their greatest contribution to the general body of knowledge to warrant my attention?

5 Likes

Dress ni tight lakini matako ni flat screen

2 Likes

Wanaitwa Milly wa Jesus, na Kabi wa Jesus.

Dont bother searching their content, your IQ will drop by 50 points juu ni ujinga tu huwa wanafanya in the name of content creation.

12 Likes

Looks like @ChifuMbitika has already suffered the loss

7 Likes

Kenyans enjoy cringe.

Utapata wanawatch a whole 2 hours brain rot.

5 Likes

Hawa walikuwa wanathrive huko Facebook na Instagram. But now Tiktok has taken over they stand no chance in social media.

Ile ujinga watu hufanya tiktok ndio watrend imefika alarming levels sasa. Everyday there is a new fool in that app.

3 Likes
1 Like

Hii si ni Ile ghasia ulikula cousin yake hadi ikapeana mimba ?

4 Likes

The government should overtax make-up to fund education to boost the overall IQ of the nation.

3 Likes