I shall pay. Cheki…pale twitter as u know nilitupwa Siberia Guantanamo maximum prison ya huko for 97yrs with no option of parole.
Kuna mseh alinishow naweza ingie pale using sijui VPNs. Nimepenya and pretended to be a good boy. Mseh hata sija tweet kitu naona hii?
[ATTACH=full]297283[/ATTACH]
Banae hata natumia innocent baby face Picture…na wananitupa nje. Help.
nikama akili yako iko kwa kiyambis yako. Mimi twitter sikuwa na post tweets…kazi yangu was ti attack mungikis duing elections. Nlitupwa nje those days and up to now hawaja nikubali
VPN gani na sioni chochote kwa notifications bar. Kama ito3 account ishakua banned then its already compromised create a new one but only when using a VPN. Nord VPN should suffice, tafta premium accounts online for less $5
Delete all browser cookies when on twitter domains and use another IP address (VPN) only when all cookies are gone. Don’t use a tois photo as your PFP - hiyo ni red flag.