Hizi gari za self driving

Wadau mumeona hii maneni toyota wameamua kuleta…ndo hii link hapa:rolleyes:

https://www.youtube.com/watch?v=i0tEg7l-MNw

I am glad i will be dead when they come to effect in Kenya

As long as ni Toy ota …paaaaaaaaaaaana cognize

Self driving cars zitaweza reduce road fatalities. Itakua mvutano kabla zipenye vizuri Kenya.

why do the still install a steering if the vehicles are meant to drive themselves?

Steering wheel ni ya wakati you want to drive yourself…ukisahau inapick auto drive…just watch the clip utaelewa vifiti kaka