Ban za kenya sio kama za bongo aisee, Nimekutana na post ambazo kwa JF ile ya nyumbani aliyepost angekua anaugulia BAN ya wiki 1-3 lakini huku unadunda tu.
ila kiswahili chao sasa
Kizito sana lakini wa mombasani wako vizuri
Jamaa wanatukana sana
Matusi made in Kenya
Huku kuna Ban Ki Moon
Karibuni na msiwe na hofu kwa sababu ya matusi,hilo ni jambo la kawaida hapa.Na kupewa kiti ukiwa mgeni ni lazima.
Hiyo Avatar yako inatosha kabisa kuwa BAN
Kwahiyo mtu akimkosea mwenzie anachekewa tu
Humu mods wapo poa mpaka wana chat-Chat na kushushia mistari Villagers…
Cc: @Mahondaw
Avatar haina shida mkuu
Mods wa huku wahuni sana
Huku BAN hakuna ni kupost mambo yote.
Kabisa…
kuna uzi jamaa anapost porn pics halafu upo tu mpaka sasahivi
Nitajie mod mmoja nimtag nimtukane mkuu
Tukana huyu anaitwa @Deorro ametubabaisha sana mkuu.
Mi nataka mod mzee
Huyo ni mod mkuu.