Inashangaza kwa kweli,
==========================================
============================
ttps://www.youtube.com/watch?v=KxYSbJu2P1I
Inashangaza kwa kweli,
==========================================
============================
ttps://www.youtube.com/watch?v=KxYSbJu2P1I
Kuna wabunge mle ukiwatoa wa upinzani??cha ajabu wao kila mwaka ni kushabikia tu bajeti hata kuuliza je ile ya mwaka jana mbona utekelezaji wake haukuwa kama ulivyokusudiwa wanakuja na habari nyingine tena!!kuwapa wananchi matumaini yasiyokuwepo!!
Kwani unatakaje au una njaa?
Tanzania tuna wabunge “si riziki” wa CCM
Hivi itawezaje mathalani kupitisha sheria ya maudhui ya mtandao ambayo mnajua kabisa kuwa inavunja hata Katiba ya nchi yenu?
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 2005, iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2005, Ibara ya 18(1) inatamka wazi kuwa " kila raia wa Tanzania atakuwa huru kutoa maoni yake kwenye chombo chochote na maoni hayo hayapaswi kuingiliwa na chombo kingine chochote" mwisho wa kunukuu
Hivi tukiwauliza wabunge wa CCM walipata wapi ujasiri wa kutunga sheria hii mbovu ambayo wanajua fika kuwa wanavunja hata Katiba yao wenyewe?
Hiyo ndiyo imesababisha mtandao wetu pendwa wa Jamii Forum kupigwa ban na ndiyo imesababisha watanzania tuwe wakimbizi wa muda kwenye mtandao huu wa Kenyatalk
We acha tuu. Kijiwe cha mkahawa Dodoma.
Mbunge wa CHADEMA alipoleta hoja bungeni mwaka jana ili serikali ifute kodi ya PEDI, na igawe pedi bure kwa watoto wa shule za msingi. Hawa hawa wabunge wa CCM walitumia wingi wao kuipinga hoja hii. Jana waziri wa fedha akisoma bajeti katangaza kutoa kodi kenye DEPI, wabunge wa CCM wanashangilia, CCM CCM CCM CCM!!! Mimi nikashanga wanamaana CCM = PEDI au PEDI= CCM? Nikaamini kweli pediiii ni ile ile
Tuna bahati mbaya kwa kweli
Magufool anayapelekesha kama majinga na bado kazi yao ni kujipendekeza na kupongeza mpaka madudu
Mkuu kwa wale wabunge wa CCM mle Bungeni inasikitisha na kuhuzunisha sana…
Bila kumungunya maneno inatosha kuwaita lile ni kusanyiko la WAJINGA na WAPUMBAVU.
tena wakiongozwa na lijobu mbumbai,yaani wabunge wa ccm hawana akili kabisa,ndio nuchumi kila kukicha unakufa,yanajali posho na kujaza matumbo yao tu
Kuwa shabiki wa CCM ni ukichaa tosha.
Inashangaza sana!!
Karibu mkuu.
Siku ya kwanza nilijiuliza sana kama kweli nastahili kuwa mkimbizi. Lakini hakuna namna mazingira wakati mwingine ndiyo huamua hatima ya mtu!!
Asante kwa kunikaribisha!
Hakuna namna, tuendeleze mashambulizi.
Naunga mkono hoja. Tuendelee kuwazomea hadi kieleweke. Na ukweli ni kuwa tunayowaambia yanawaingia ndio chanzo cha kufanya yote haya ya kujaribu kutufumba midomo
Furaha yao wao ni kuona “tunasarenda” kumbe hawajui kadri unavyomkandamiza mtu ndivyo anavyotafuta njia bora zaidi ya kupambana na wewe.
Tatizo lipo kwetu sisi Wapiga Kura! Kweli mtu na Akili za Kipumbavu Kuchagua CCM, akili za Watanzania ndiyo Tatizo, Period.
Kweli pedi ni ileile