Hivi Rais Magufuli anapata kiburi chake kutokana na magari ya Polisi ya washawasha?

naanza kuwamiss lumumba
mijadala kinzani ndio huchangamsha jukwaa
brainless lumumba njooni tumemiss comments za akili ndogo

Hawawezi kuja huku kwa kuwa wao ni “mercenaries” bila buku 7 hawajacomment

Uzi bora so far,kwenye jukwaa hili…wadau mmejenga hoja vizuri.

Mungu pekee ndie wa kupewa Sifa si binadam

:mad::mad:r

:mad::confused::mad:

Time will tell…

Cc: Mahondaw

Huyo Magufuli hana kinga ya kifo

Sasa kuna maana gani ya kupeleka kesi mahakamani iwapo unajua sheria zitapindishwa??

Nikuulize tu swali kidogo, hivi unafikiri ni kwanini mahakama ziliwafunga Mheshimiwa Sugu na LijuaLikali, wakati wanajua kuwa wabunge hao walikuwa wanatimiza wajibu wao kama wapinzani kwa kuikosoa serikali??

ipo siku