Hivi ndivyo mtu hujipata Kamiti for 40 years. learn to control your temper and walk away

https://twitter.com/NairobiGossips/status/1766401119817736305

Watu wanatoa stress za Planteshen kwa barabara… They are lucky iko hio side ingine ya allsops… otherwise GSU guards wange insure they have a day to remember.

1 Like

Omwami Ako na pressure ya mogo ya 1200 per day. Amebeba trip ya 250. But anafaa kukeep distance hapa hakuna kesi. Meffi yeye

Stage ndio hiyo. Matatu imesimama katikati ya barabara. Matatu drivers na makanga ni wajinga ni kama wote walizaliwa na ndaauo mmoja. Someone do us a favour afyeke hizo nyang’au zote zitutangulie mbinguni ghaseer.

2 Likes

Matatu drivers have their own logic. 99.99% are idiots that probably shouldn’t be allowed to operate a wheelbarrow let alone drive a car.

2 Likes

Most are actually very bright so long as hawako kwa matatu. Same driver mpee normal car na atakuwa a different person. Lakini akishika gifara ya matatu agonye kidogo braincelss go to sleep

Bad case of matatu brain

1 Like