Hivi malaika waliosemwa hapa ni akina nani?

Tujikumbushe haka ka clip>>> Magufuli: Natamani Malaika ashuke aizime Mitandao

Huyu alioikamata JF ndio mwenyewe aliyamtamani ashuke

Nadhani baada ya mwaka 1 ataiachia kama video inavyosema

Kule Malaika amezima, Huku Mungu amewasha

Ahangaike tu na mitandao, tutamdai Viwanda muda ukifika

Viwanda vipo vingi tu, Cherehani, vijiwe vya mafundi baiskeli, gereji za vyombo vya moto nk, karibu kila nyumba ina kiwanda mkuu.

:p:p:p:p:p:p:p:p
cc mwijage

Hahahahaaaa

2020 atatupigia magoti wana mitandao

Mtamsamehe?

Ndio malaika kaanza kazi ivi

TCRA

Naa :smiley:

TCRA kwa kushirikiana na malaika mkuu

Hmm!..

:confused::eek:

Atapiga push up mpaka upara ulowe ila sijui kama atapata kura za kutosha.

Je huyu ndie, au tumngoje mwingine?

Mara paap malaika katua na uku kafanya yake

Sidhani. Hapo alipo ashaajiona kashinda chaguzi zote. Nina hakika kuna mikakati mikali sana inawekwa kupambana na wapinzani kwenye chaguzi zijazo.