Hivi kulikuwa na ulazima wa kutumia risasi za moto kuzuia maandamano ya wanaChadema February 16?

IPO Siku wahusika watawajibika.Mwigulu pia alipaswa jitenga kwa kujiuzulu mapema, endapo yalikuwa maagizo ovu toka juu ,nitamdharau daima.

Humjui Mwigulu mkuu, kufanya mauaji ni asili yake, hata kama yalikuwa maagizo, yeye aliyafurahia, mengine yasemwao ni mbwembwe tu, hajaondolewa kwa sababu ya mauaji, labda kwa kushindwa kumuua Lissu

Bomu la Soweto Arusha alihusika,

Saana, ana Vituko vya ajabu na kutisha, hawamjui tu

Anaitwa Deo Siwalile wa JWTZ aliyevalishwa gwanda za FFU kwa mission ya kumuua Mbowe. Detail ya Bashite. Nasikie Bashite amenyang’anywa walinzi hao ili kumficha huyu muuaji. Namba ya simu ipo!! itabidi tumfuatilie mguu kwa mguu popote atakapokuwa duniani