Hivi kesi ya Deogratius Kisando imefikia wapi?

Kwanza ningependa kujua nini kiliendelea baada ya kukamatwa na Polisi kwa kuweka wazi
shauku yake Mtandaoni kuwa ana hamu ya ku…t…o…mmmmmm…
na vipi kuhusu kesi ya Nabii TITO imefikia wapi?

Dah Mimi ninamachungu ya jf bado aisee,sikutegemea ingefanywa hivyo

Ni suala la muda tu, tutarejea.

Nabii Tito atashinda ile kesi yake. Ila Kisandu sijui!

Deogratius Nalimi Kisandu ana cheti Milembe hawawez mfunga

Aiseee!!