Hisense equivalent of LG Xboom stereo

Hamjambo wakuu,a talker here recommended Hisense over the LG Xboom stereo that goes for 64k.Which specific brand/model is these hisense and what are the specs?Would like to buy one niweke kwa bedroom now that bibi amehama.Asanteni wadau.

Unaweza chambua specs ya mapoko Nairobihot vizuri zaidi lakini huwezi chambua specs ya redio kwa website ya Hisense mujamaa.

Nyar Asembo amekudivorce ama?

amehamia bedroom ya mboch.akihama aende itakua poa sana.

2 Likes

Agwas kwani raundi hii ulifanya makosa ipi ama ni wife anasumbua

told off bradhake

1 Like

Sasa hapo anajam ya nini? Anyway usiwe na waas unalenga tu. Kuishi na in-laws inakaa tricky sana.

Tricky saidi.Especially ukikua tricked ati mtu anakuja basketball trials na five months later ameshamea umbita.

2 Likes

Tricky saidi.Especially ukikua tricked ati mtu anakuja basketball trials na five months later ameshamea umbita.

Atafutiwe kibarua achape kazi angalau awapatie time, Kama hana heshima.

Mimi after high school nili stay kwa my big siz. Hazi yake alikuwa beste yangu na hata tulikuwa tunaenda zoezi tunapatana grao. Nampiga chenga za ajabu but nikirudi kejani heshima ilikuwa. Infact nikirudi Nairobi ndio niende kole waliboeka sana

2 Likes