His Car & Now Their House Not Befitting For A Person Worth USD 5 MILLION

Kelvin Kiptum, the esteemed Kenyan long-distance runner, had accumulated a net worth of $5 million before his untimely demise.

Hii mambo ya kuficha aibu dakika za mwisho muache. Jamaa kazi yake ilikuwa kuosha rungu na vienyeji wa plantation za majani chai na kukaa town kwa plot na benki kuna pesa kibao.

Kama ni watu wan akili, wanafaa sa hii waweke trust imanage hiyo mali yake on behalf of his MAIN wife and 2 kids. Wawekewe Education Trust fund that will cater for their entire Primary, Secondary & 2 to 4 years collage, otherwise they will end up worse than Tusky’s or Naivas kids.

Hii nyumba inakaa shed ya Tinga tinga

2 Likes

Elder wacha propaganda, io networth ya $5 million umetoa wapi? Kijana ndo alikuwa anaanza life, na alikuwa na plans za kujenga, only that alikufa mapema.

1 Like

Nimetoa kwa hesabu ya malipo ya World Records. Tthat nigga was not 24 Years old.

Look at this face.

image
This nigga was 36 Years old

2 Likes

Imeisha.

https://twitter.com/TheStarKenya/status/1760539470653530138?s=19

A person i knew died before building his own house despite being married and having children.A house made of iron sheets was build now it looks old.This house build will be better

He was 36, na world record ameeka akiwa io 36 pia, sasa hangejenga nyumba akiiwa 20’s, io time hakujulikana, hakuwa na pesa.

Angejenga nyumba kitambo kabla awe na pesa, then after nyumba kukamilika aweke world record, ungekuwa hapa kusema ii kanyumba ni kidogo haifai kwa mtu ako na world record.

Kijana alikuwa anangoja akImbie in less than two hours, then aende retirement kujenga na kulea

1 Like

Really dude? Do you google any facts before running to type a stupid thread?

Eliud Kipchoge’s net worth is not even 500m yet you are here proposing that Kiptum’s is north of that very amount.
Preposterous!

2 Likes

Elder io information hatuna. io data ni wachache tu kama wewe wenye wanaeza access. Tunaomba utupatie link.

Kwani you believe everything that I type like a fool?

1 Like

Green Emoji

So it means Bonobo athletes are GROSSLY UNDERPAID?

Nice. People without a house half as good are still hating, stuck in an era where a house has to be made of blocks, cement, and sand.