Hippo lake.

Wakuu, leo nimefanya cheki maneno kiasi hadi pale Oloiden.[ATTACH=full]159726[/ATTACH][ATTACH=full]159727[/ATTACH][ATTACH=full]159728[/ATTACH][ATTACH=full]159729[/ATTACH][ATTACH=full]159726[/ATTACH] [ATTACH=full]159727[/ATTACH][ATTACH=full]159728[/ATTACH] [ATTACH=full]159729[/ATTACH]

Naona county govt huko imeenforce plastic bag ban 100% sijaona mahali ingine ugali kwa khaki bag

that fish mwarimo! now i am hungry.

Where is lake Oloiden?

I now miss eating fish. Lakini, being served on a newspaper haileti bidii.

si ni ya kufunga nyama…na samaki ni nyama…Ara?

ya kufunga nyama mbichi, sio iliyopikwa jamani. Lakini samaak iko ber

Tembea Kenya boss. Most upcountry nyama joints ufunga ugali/nymachom take away kwa khaki bags. Ilikuwa even before the juala ban.

Mkuu hapa ni kichakani, btw hata kunawa mkono ni hapo tu kwa lake.

Saffi saidi.

Moi southlake road, Kongoni.

Naivasha

hiyo hippo imengojea @uwesmake ainyandue ndio irudi kwa maji. Au haukuiuliza ?

Picha za cheki maneno zikuje

sioni hippo , wapi hippo banaaaaaaaaaaaaaaaa

Check your bedroom

I really love that fish right there. Tilapia? nicely done with ugali and traditional mbogas as accompaniment. Reminds me of the one we order from a woman based at Kenyatta market. Mama mia! With kachumbari…‘isie kata ko’.

@Inthanite… Hope ushampea yule Mama bizna by now.

Beautiful scenery

Awesome stuff!

Na hio sio Tilapia…Inaitwa Common Carp