Hino vs Isuzu -over 33 seats -which is better?

Super metro waki chukua 30 matatus. GM inanukisha kitunguu kama 170M. Fucck

As a shareholder wa NCBA I am happy wakichukua loans za ma3 juu it means I will get fatter dividend cheques this year.

Tunajua wewe ni loan officer

Kwa hizo mat 60, 2k za daily ni zao in the name of management. Every day they make 60k, monthly 1.8M.

Exactly. Hakuna innovation yoyote ziko nayo special. After 2-3 years shida ni zilezile, alafu kutokelezee kampuni ingine mpya zote zisimamishwe vile wamesimamisha wengine.

Wacha mchezo wewe. Kwani unafikiri ni mashindano ya fashion ama? Unadhani watu wananunua hawana akili ama?

Give them one year, utaona venye zitajaa yard. Nilipiga hizo hesabu nkaona by the time I’m done paying my loan Sacco watakuwa wamenunua basi Moja na pesa yangu

Exactly. Super metro wakinyamazishwa Metro trans

Metro kama mwenye gari lazima utaenda South Afrika at some point kufanyiwa heart bypass surgery. Hizi vitu zinafaidi kila mtu apart from mwenye gari. Mwenye gari kitu anawachiwa ni loan na mfupa ya gari

Loan ya five million payable within 48 months sio mchezo. Every month 190k, new entrants will regret. Hio ukijiingiza umejimaliza

Damn, kumbe biashara ya mathree imeharibika hivi? :oops:

Ni mbovu sana Sahi. Bei ya diesel iliharibu kazi. Gari inakunywa 8k kutafuta six k, imekuwa vice versa. But ni biz kama zote zimekuwa na shida.

Kuna zingine zina kunywa 5 k inaweka 1500 hata afadhali nissan

Two 14 seaters are better than a 33 seater bus.

I agree, hapa sacco ndio wanaendelea kutoa tumbo kubwa…Ndio maana wananua scania wakijenga na huko prime areas

Wanakulia watu sana and they do very little kusaidia investors

Ebu lala ama hawaja funga hesabu

Hizi vitu zimekuwa cartels kali sana vile wako na bottomless pockets. Mahali tumefika wanaweza ata pindua serikali wakitaka.

Nimeona afadhali niweke extra cash kwa 91 day T Bills. Matatu niwachie SACCO. In Kenya, its better to invest in what made you money than Matatu, Rental (other than long term, 7 floors minimum).

I estimated minimum investment should be 35% Return as a minimum.