Hijama/Cupping

Can anybody recommend me a very nice clean place to get the above procedure done. Kina @mayekeke @Bigfish1 mnaweza jua hii maneno vizuri. Sandeni.

Hapa Ile cupping tuna tambua ni…
[ATTACH=full]237032[/ATTACH]
Since unadai hii njaro ya beta males, enda nunua hii kifaa ujipatia cupping pale kwa mancave. Meffi wewe
[ATTACH=full]237033[/ATTACH]

Hio ujinga yote sijui una type mara ku screenshot pics na una crop then post… Stupid see your life pumbaff useless individual.

Ngara, Park Road Mosque, ingilia pande ya nyuma ya hospitali, clean and professional staff, charges 4500, health benefits, priceless.

Shukran ustadh will check it out.

Ukisha fanywa hijama ya mgongo utasikia kama new born baby wallahi. BTW Ramadhan Kareem na Saum Maqbul bro.

Ntafika huko i experience In Shaa Allah. Ramadan Mubarak have a blessed month bro .

Park road …

Thanks @mayekeke, hata mie I’ve been looking for a good place. Ramadhan Kareem akhis

Pole for the late response akhi, ramdhani I’m off ktalk most of the time.