We serm to have this insatible need of foreign validation at our own detriment.
Hawa watu wanatoka mbali and end up owning everything while your own child has few incentives in ever owning a home.
Better with fellow africans lakini tuende mos mos sii kufingua mlango fuaaa kwasababu unataka rafiki mgeni!
Huu ujinga tuache patia kamau Ochieng, Juma, Nduko, na kingetich nchi yake!
Wanasema nini? Hatuna mbados
Eee sasa unaona hawa wakisem matamu ya nchi yako kisha utaona kundi kubwa ikikunyanganyanya raslimali na vile sii wajinga tukiona foreigna ame stop unaweza fikiria ni yesu:meffi:
https://www.youtube.com/watch?v=SlEwcWaBWnY
hii ujinga ya kufungua mlango fuaa tuwache.
Wanawake wakenya wameamza kupata mimba na sura nyingi mbaya.
Nao wadau kubaff wajinga wanafikiria hii ni maendeleo :meffi:
Ukienda nairoffi unaweza fikiria uko mogadisho ama riyadh, wanaume wanevaa curtains za white?? Wdf is this place?
Kila mtu arudi kwao msinisumbue nikikula ugali yangu na chumvi.
Na mkienda mchukue hizo skyscraoers zenyu sizitaki, nitaambia onyango, mutua kangethe ama wafula atujengee, at hizo pesa zita liea na mkenya!
Haya
Kesho watadai kahawa niyao, muthokoi, hata kamongo…