Sasa juu ulinunua gari si uoe
sasa juu bado unapumua si uoe
sasa juu umepiga simu nyumbani, Si UOE.
I am happy one of my brothers saw the light and jumped out of the planteshen fuckery quick fast. Sai jama anaishi maisha ya amani. I am happy for him, at least anakaa ni ka ako na life. Jamaa alikua anaearn poa na amekonda na kuparara parara tu.
Hio ndio presha Mimi hupitia. Kuna kamzee nilipiga sweep muoto juu ya kuuliza hio swali.
I answered him I find offensive to answer that question is like me asking you when are you dying since you are getting old? Mzee uso iliturn redder than red.
Siku hizi Mimi na huyo Mzee huwa tuna ongea kuhusu biashara, geopolitics na things which will make this place we are living a better place.