Hio pesa yote mimi hutumia kwa lanyes nikisave nibuy manguo
This week instead of chewing lanyes i have
decided niingie hiistyle nishike ka converse.
Target ni buy jersey ya Barca ya Black jeans swaffi na hii converse ya white
Hio pesa yote mimi hutumia kwa lanyes nikisave nibuy manguo
This week instead of chewing lanyes i have
decided niingie hiistyle nishike ka converse.
Target ni buy jersey ya Barca ya Black jeans swaffi na hii converse ya white
Hio style (Bill) nimesema haiwezekani, hatuipitishi kama wabunge wa ktalk.
Mambo ni mawili ni either ushike jersey ya Arsenal ama ushike hizi hapa. Na hizi ni njegaa
Teenagers wa barca wananinice mbaya
Mumeanza kuingiza njeve mapema aje watu wa arsenal? Kufa na team yako kama sisi Chelsea fans. Man-useless fans pia have gone mute
Jersey ni ya Arsenal FC sasa sijui Kahawa anakimbia akienda wapi?
Kuna kitu moja about kuwa fan, huwezi wacha kupenda team umeishi uki support hata wapigwe aje. Utaboeka, utaumia wakipigwa but wakishinda game unaskia nka umezaliwa upya
Alafu ubleki airport hizo canvas ziende
Jersey mimi hubuy random niko na ya Real Barca Chelsea Man U
Hauna ya Arsenal FC, na vile nikona collection ya the last seven years.
Sina lakini natamani vintage ya JVC
Gikosh ziko
Swaffi hadi 45 nimeona leo jersey ya Everton ya Sportpesa zile origi.
Nipee cordinates penye wanazikida gikosh
Ukiingia gikosh ukitoka na side ya majengo, hapa nka umeingia na gari za kayole ama za dando, tembea na hako kanjia nka unaingia na ndani, fuata hio rodi utaziona zimeanikwa…sasa chambua utapata jersey safsana.