Hii siezi panda

Slogans zingine hata kama.
[ATTACH=full]60982[/ATTACH]

Nothing wrong with the slogan

wapi wale wa kusema hiyo gari ni ya devil worshiper?

3 Likes

You’d be surprised this guy drives like a p.ussy!

Na zile za kwa kina @gashwin in the 80s zenye slogan ilikuwa ‘Nyiri kana Matu-ini’ ama kitu kama hio…

10 Likes

Hii ilikuwa slogan zimepewa na wadhii… Some of those @mabenda4 fujos used to do Nairobi - Nyeri in 1 hour a distance of about 130kms. Hence the ‘Nyiri kana matu-ini’ saying…

1 Like

Imagine iko na inspection sticker , police are alway on highway collecting 50bob from this ma3

Whats wrong with the mat. Its just some rhyme.

1 Like

Probably its the best Matt on that route. Mwenye gari ndie aliamua iandikwe hivo, sio dereva…

1 Like

Kwani hujawahi panda mat iko na sticker imeandikwa “Yesu ndiye dereva” na dere ana tusi abiria, ana overlap, ana nuka chang’aa, anachana veve …

9 Likes

It should be investigated, how many accidents has it been involved ,could be involved in fatal accidents by design !

How many matatus have airbags? (apart from that of the driver)

2 Likes

My view too. Hizi gari huwa za kubeba light cargo,kuku,mayai,flowers na MAITI huko Japan. Airbag iko Kwa steering wheel pekee.

1 Like

Ama zile huwa na sticker imeandikwa
“dereva ni wazimu,konda naye ni moto lakini abiria ni sumbua”
especially zile zinabeba toka kutus hadi kianyaga

1 Like

si unajua fangi ilipoletwa central na askari jela pale kathigiriri ilishukkishiwa musakuthi…:D:D:D:D

hii jina hunimalisa kila time nkiiskia :D:D:D @byro uko wapi ama ulihama musakuthi??

2 Likes

Musakuthi = Kutus? That name used to make me laugh till my ribs hurt.

elders kama gashui watuelezee ilitoka wapi