Hii siasa ya Wanjigi ataweza kweli

[MEDIA=twitter]1470109759491690496[/MEDIA]

We need something different. Am happy with the guys putting themselves out there.

mchungaji na bibi yake walienda kwake na “walikulana” :smiley: “makiriayanira”.

ati tumekulana hapa kwangu na mchungaji na bibi yake. hadi mjaluo akasema eish …:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

“tukirianira”. Was slip of the tongue.

Kukulana si ni kuriana, kurianira ni kukuliana?

He was trying to translate direct from kikuyu to swa: tukirianira = tukakuliana.

Direct translation he meant to say “we dined together.”

Hii mkora bila pesa hana tofauti na ile ghasia ya 150.

Kuna jamaa anasema “aihh!” Kwa background :smiley:

Gif ya idi amin itembee one time

Ruto once said “wakenya wengine wengi wanyongwe”…