Hii SGR trains tumeletewa ni electric ama ni zile za moshi??

Nimeona artistic illustration akifanya comparison. Then venye najua ethopian rail yao iko na electric cables.[ATTACH=full]81447[/ATTACH]

Ni ya moshi manze. Sema dere wa train kupika chipo mwitu…

16 Likes

Omba tender ya kuni…they are reserved for youth…

11 Likes

hehehehe…mumeanza uchokozi

so the difference of a diesel and an electric is so wide…that sasa watu wata compare na zile steam engines…

1 Like

yetu ndio gari ya moshi

2 Likes

Hiyo kichwa ingepelekwa choda fabricators waifanye ikae kama buscar hivi atleast…

3 Likes

Hii topic ya SGR inabore sasa. Safisheni macho

[ATTACH=full]81449[/ATTACH] [ATTACH=full]81450[/ATTACH] [ATTACH=full]81451[/ATTACH] [ATTACH=full]81452[/ATTACH] [ATTACH=full]81453[/ATTACH] [ATTACH=full]81454[/ATTACH] [ATTACH=full]81455[/ATTACH]

17 Likes

nimekupa like juu hao wote wanaweza TAWEE!

afadhali buscar
https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/buscar.16544/

1 Like

https://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2017/02/144929_1c5dad03f7252342a08d1b3448abef0c.jpg

@Kill The Buzz nipatie link niende nikajaribu hapa.
This is my kind of chiq.

1 Like

Huyu ni yule alikula pesa za kamjamaa kalikuwa kanaosha vyombo kwa hoteli za dubai, kanarushia madam na kumbe anakamuliwa na ma-artist wa kapuka. Beba wallet

6 Likes

you mean Beba safe

2 Likes

@denis young umesikia

1 Like

sasa si unge’fix. Wewe ni Fara twero sana:D:D

1 Like

BAWNBP (baba Abby will never be president)

6 Likes

hii ni mbichi…

1 Like

@Bintipretty pale IG…

1 Like

Njehova…nimeskia…

Kama hazifiki 140kph naanza kupika na diesel. :D:D