Hii serikali lakini .hustlers wanakapitia

I was surprised zile base za nyama choma hapo Bus Station were demolished…Sakaja claimed there were illegal structures .they had been there for decades.Hii serikali hustlers wengi watarudi ushago

1 Like

That has been the plan all along to impoverish people by 2030

3 Likes

Alaa, I have eaten hizo nyama choma ugali za 200 mara mingi

Kuna steel structure market build right next to bus station… They want guys to rent from there…

The aim is to kick all okuyus from nairobi by 2027. That is why wametimuliwa marikiti, gikomba inachomwa daily, their houses demolished claiming they are on river banks etc.

Punich Ohulu

Hush hush, hii ni Siri Kali :grinning:mambo bado

Hasora anapipinywa Kila mahali. Hata vibanda ziko Karen zilibomolewa. Nabii is a scam

hatupangwingwi