Hii picha hunimaliza

Hawa photographers Wa club wanaweza kukuabisha

4 Likes

@Mzee_Mashavu hapa nakuona uliponea chupu chupu. Ungeanikwa ukiwa kwenye starehe zako pekee yako ukimumunya mvinyo taratibu na isemekane ulikuwa na hawara wako kwenye kilabu pale SJ, mkila raha, ukiharibu hela zako.

4 Likes

Some of these pics can really embrass you :smile:
Especially in this era of smartphones

2 Likes

That’s why I always wear a cap when in pubs

1 Like