hii ni ukweli

[ATTACH=full]142012[/ATTACH]

time will tell

1 Like

I only want evidence of the pouring. Else, it’s just a tale. And typical of Kenyans, we’ll never investigate.

4 Likes

pia mi

mi nataka nione mbisha ya mavi kwa ground ndio nikubali.

3 Likes

Mimi nataka video ya Sonko akibeba hiyo mavi.

4 Likes

Chokosh ni chokosh tu ata akuwe billionaire ask Pablo Escobar

1 Like

Kelele za chura

Wakati mwingine unaongelesha watu wengine na ile lugha wanaelewa rahisi.

The much I saw was only a mound of garbage.

mtu anataka kuona mafi aende akunie kwa meza yake aangali muwache upussss

Naswa doesn’t have the monopoly for stupid games. Am always of the opinion Jubilee is too nice to these propagandists.