hii ni nyama aina gani

[ATTACH=full]441135[/ATTACH]

Huyu anachinja zebra

It means its not goat or sheep or pork etc…yani ni nyama ya ngombe.

Next…

Zile ngombe huibwa pokot na kwa wamasai

Pengine hii bushere iko pale ndonyo market kwa kichinjio

meffi unawekelea poster za 1998 tufanyie nini?

Probably how you got your name

Ghasiaa … rustling si uwizi … it’s a cultural thing, that even the government appreciates. Na ngombe za Pokot zinaenda direct KMC. It’s my job to ensure they do. Bloody nugu