Hii New Year Naona ule Mzito Alienda Uganda Akilala kwa Mtaro

Kameanza. Kale kaparty kameanza. Kako in full swing sasa. Buddies, keep safe tuonane new year.
[ATTACH=full]278088[/ATTACH][ATTACH=full]278089[/ATTACH][ATTACH=full]278091[/ATTACH][ATTACH=full]278092[/ATTACH][ATTACH=full]278093[/ATTACH]

Bora usimwage nje …

watu wachome nyama wasetti matandiko safi kabla ya kunyonya njemson. Happy New Year in advance kesi baadae

Actually, given Jubilee’s madness, this is as good as it can get coz hatujui next year itakua aje.

Ulisema viatu na trouser hutabadilisha?

Kwani hunanga viatu ingine.
Lakini jienjoy, hope utaleta uhondo kesho na bisha coz kama uko mashinani with all that alcohol something extraordinary is bound to happen.

Happy 2020

Ya Jana ilikuwa long ya blue na viatu za beige.

At least waonyeshe how we do it here. Apana jaza whiskey kwa glass kishenzz but then again hutaki wajue wewe ni kuku mweupe

Be a little original. Lugha ya @Panyaste★ achana nayo, create yours

You see bro, najibamba saa hii. Kuja 3rd tujibizane.

Ndio kanasonga kusonga. The local big boys have shown up. Wamenipea nifanye blessing.
[ATTACH=full]278098[/ATTACH]

swafi hapo boss

Perfect scenario magreb. Glenf is hidden under the table…typical Kenyan:D. Spare a thought for me nikiwa out in winterland and on the top most floor…no garden! There is a difference between having a drink indoors and having a drink outside. Trust me. Nimeshikwa na kiwaru.

Ji-enjoy sana and a happy 2020.

Nitumie nyama nikule

Asante

Niko hapa Mengo, achana na pombe, kuja nikushikie Kasenge moja.

[ATTACH=full]278130[/ATTACH]

Kumbe were ni dereva wa múgúka…probox tamaliza wewe