Hii Nairobi surely!!!

Leo nimetembea hii mall ya Galleria…nimechapa kaguu atleast leo niseme nimefika Galleria Mall, nione kama kuna offers.

Sasa juu ya jua kuwaka nikasema kitu ya kwanza kununua ni my favourite water 1.5 litres…semi cold. Mara hio nikaingia pale nakumat… kuchapa lap hivi…nikashindwa kwani hii maji wameficha mbali aje. Nikagotea attendant…niaje maji wa one litre iko pande gani…akanishow hakuna…ati hakuna maji hapa, akarudia…ndio hakuna…nikashindwa story gani hii…anyways nikatoka nikaenda pale healthy leaving…pia wao hawana maji, a shop called healthy leaving…na haina maji majamaa…hii ni story gani jameni…imagine sasa ati narudi town ninunue maji huko…NKT! Useless Galleria…i aint never going back there ata ikuwe na waschana warembo aje! ICHIEN!

7 Likes

Wakiwa na offer ya TP utarudi?

8 Likes

Ulipata offer za TP :D:D

2 Likes

@The.Black.Templar,

Why do you like WALKING to places where you can only gawk at the glittering wares, and where you can only afford a bottle of water @ 50 bob?

2 Likes

Hii healthy leaving ndo gani? Kwani umekuwa kasee @vunja dik

PWEGEGEGEGEGEGEGGEGE Ni Kutoka bila TP

2 Likes

Hehee seriously Black Templar wewe na malls :D:D. You should be named the ‘mall ambassador’ :p:D…Sijawai skia mall mzima inakosa maji. Note to self: stock up supplies before elections are here.

6 Likes

Hio maji inakuanga ya 42bob!

Why should we stock up?

Tunatafuta stuff za kustock up juu ya elections sasa!..its only 37 days away!

1 Like

Because other people are stocking up ndio unaona things are flying off the shelves. A few days before and after Election Day supplies huanza kuslow down coz suppliers don’t want to risk. Prices of basic items will skyrocket wee ngoja tu.

never saw such in 2013 or maybe because I was still in Campus

1 Like

2013 campus??? You must be in your mid 20’s… shait! !

1 Like

was in first year during the erections

1 Like

Exposee: You will never believe this…
Deorro suspected to be in his mid 20s :D:D:D

Or is it early 20s :confused::confused::confused:
So if this is true basi maNV wanakaa kuwa na miaka ngapi?? :eek::eek::eek:

1 Like

cheza chini tuko wengi

1 Like

Teren teren …

naleta c. v unipee internship kwa M-pesa shop

1 Like

I dont want @MANKI business in my business :p:D [SIZE=1]SEE WHAT I DID THERE[/SIZE]

5 Likes

hahaaha