Hii maliar imegulwa na kila mtu Kanairo

Hizo ghasia siku hizi wanauza kuuma kama gari ya show room. Siwezi lipia coomer more than 2000. Na ni sleepover. I maximize on my sweat.

3 Likes

Why would anyone’s wife pose with another man like that? Why would a man pose with another man’s wife like that?

Mitego zingine ni sisi wenyewe tumejiwekea.

8 Likes

Who are they?

2 Likes

Leta number tusalimiane

Kabahanye kajitokeze tu kaseme kalifanya makosa kuoa kunguru sugu. Everybody can see hakuna ndoa apo

7 Likes

Nasikia hizi stunts hii kunguru inafanya is to arm twist Bahati kufanya church wedding banae, and she’s succeeding

5 Likes

Bahati hapa alichoma.

2 Likes

Public figures in the country. the woman is bahati’s wife.

1 Like

Khai!!! Hii kitu inakaa tu ni mimi kwa hii Kijiji sijaonja.

9 Likes

Inaeza kuwa ulipitia na hata huna habari!

2 Likes

Hehe. Akiwa 21 bado nilikuwa mless sana. Si she’s forty ama?

1 Like

Bahati ana ngojea aletewe ugonjwa Kwa boma ndio ajitoe.

6 Likes

si we peke yako :rofl: :rofl:

1 Like

Hapo hakuna ndoa, hao huwa wanaosha doo ama wanapigishwa deal chafu ya kuingiza madoo. Hako ka mama Huwa ndio kamejenga huyo kijana na watu hawaonangi. Yeye ndio husaka deals

5 Likes

So huyo mwanamke in mule wa money laundry.

4 Likes

Kabsaa. Anajua kuzisaka na pia ndio amefanya bahati a remain relevant otherwise kamu jamaa kangekuwa kasha saulika

1 Like

Hii naona imepita tu hivo

Sina idea ni mzae kiasi gani but najua tu ni mzae kushinda bahati by far.

1 Like

Huyo mkamba hawezi jitoa. Juu huyo maraya ndio analipa nyumba na kulipa rent.
If kabaumbwaaa won the MP. Ndio angechuja hio kunguru.

2 Likes