Hii Lumbutuku ya Ruto ni vipi?

Tuache siambatasa kiasi, hii lumbutuku iko vimbitipi? :smiley:
[ATTACH=full]449887[/ATTACH]

Ushamba … matching everything instead of colour blocking

Ongea vitu tunaskia

[ATTACH=full]449888[/ATTACH]

Hio mdio lugha ya mashoga wakiombana vinyambis. Mimi ukinitext hivyo una kula block pap.

Hata mi sipendi hii lugha ya watoi

Mnafurahishwa na savco?

I find that lingua so retarded. Again, how old are you?

Unasema nini kijana?

Mimi nguo bora inanitoshea vizuri naivaa,colour coding tunaachia vijitoto

Imagine!