Hii Kauli ya Rais aliyekoswakoswa ' Kuuwawa ' wa Zimbabwe inamfaa Mwanasiasa gani hapa Tanzania?

[FONT=courier new]Nainukuu tusichoshane " [COLOR=rgb(184, 49, 47)]The strongest response to hate is love ".[/FONT]

[FONT=courier new]Ameisema leo Rais wa Zimbabwe Emerson Mnangagwa baada ya jana tu ’ Kukoswakoswa ’ kuachana rasmi na dunia na kwenda ahera ( Kufa / Kuuwawa / Kufariki )[/FONT]

[FONT=courier new]Nawasilisha.[/FONT]

Haimfai yeyote

Tatizo wanasiasa wanaongeaga mengi vinywani ila mioyoni wanawaza tofauti kabisa.

Kwa Tanzania kiongozi sio kukoswakoswa tu bali afe kabisa, naye si mwingine bali ni jiwe na mwanae bashite.

Duh… Mkuu umeamua kujilipua??

Mkuu jiwe akisepa maanake Bashite.amekwisha!

Dependency trait

hiyo ni international harmonization statement ila nyuma ya pazia akianza ku deal na mmoja mmoja kimya kimya wataelewa tu na kujutia kwanini wali calculate vibaya jaribio lao.

watapotezwa mmoja mmoja…

Asijifanye Nelson Mandela…

Zimbabwe sio Ulaya…

Ulinzi wake uhimarishwe…

Aache masihara kabisa… Majamaa yako serious hayoo.

Kosa kubwa ni kumsalimisha, hapa watanyongwa wengi. Hayo maneno n gheesha, rohoni ni NUNDA MLA WATU, kama Jiwe alivyo na lugha ya ulaghai na Bashite wake!

Hiyo ni kauli ya kidiplomasia tu, anatambulika kwa jina la “The Crocodile”

Iko hivi yaani; njia uliyoingilia ndio utakayotokea
Nalog off

Taffsiri isiti sahihi inasemaje mkuu,

Anaitwa mamba mla watu

Kamwambie Mjomba wako na Shangazi yako kule Kijijini Mbwinde na Ikupilipa Nkoba wakutafsirie tafadhali.

Ohhhppppssssss…

Aisee Hapo Hapana

Mkuu hekima zako za Kule zimeondoka jf? Sijakushuhudia kutukana mkuu

Mimi bado najiuliza kwanini Mara tu baada ya kupita karibia na eneo la mlipuko ndio mlipuko wenyewe ukatokea…

Hahahhaha mkuu unamaanisha yule jamaa?