Hii jua ...

Ni kama imeshuka kiasi.

kiangazi imezidi
30 degress na niko kanairo

Turkey nayo imegongwa tena

Unalalamika na uko kanairo? Na sisi farmers je? I have been irrigating my carrots cabbage and potatoes daily with solar pumps until my water pond is drying up na bado zinaumia na jua.

hakuna kitu tunalearn. mvua next itakuja tu na hatutakuwa na mipango za water harvesting. wacha watu wachomeke na jua, hamna shida

[MEDIA=twitter]1623220664155906050[/MEDIA]

Bonobo ziko na akili za mende. Ngoja mvua ikuje zienda na maji. Bure kabisa. Ngombe ici

mi naona Ruto with his agricultural background , first term ange concentrate na agriculture, reducing cost of electricity na irrigation .

We are in lent, yet it’s so hot, we got another two full moons to go to get to passover.

Atakuwa frustrated na cartels. Aliingia hapo bila support ya watu powerful, ndo maana unaona viti zengine alitafuta watu wamekomaa kwa public service apatie akakosa, ikabidi apatie mtu yyote yule mwenye alisimama na yeye kwa campaigns.

Atakuwa frustrated zaidi kuliko ata hustlers wenyewe.

Salimia Gideon

Ni kama Angel Gabriel ame ambiwa piga tarumbeta. Okoka Dunia ina isha.

Kama mungu hatamaliza hii dunia atanikosea saidi, lakini naona kuna matumaini.

Nikiwa mtoto jua ilikuwa yellow sasa ni ya white kama kioo sijui kama ni urogi ama mandela effect.

Siku hizi ni kama ulipunguza bangi. Hupost zile thread zako za Mathare Kwa wazimu.

Badala ya uanze hasso ya kuuza maji baridi ice uko hapa complaining na tungekuwa tukisoma how I started my empire with one bottle of ice cold water

Tbh I’ve been seeing a lot of indirect suicidal ideation across multiple forums. Since the pandemic started, people will almost kind of hope for deadly disaster because they either have no hope for the future anyway, or because they’re simply……. tired.

After this life if i wake up and see raila and ruto kwa tv i will automatically know am in hell.

I will beg god anirudishe nikiwa a honey badger munionange pale maasai mara nikirarua poisonous snakes and giving no damn.

I feel you bro……:D:D

Rastafari will guide us

Try going a large water body between 11 AM and 3 PM. Wa! Fire! Nilikuwa kwa moja jana, I couldn’t stand the heat