Hii Joto bana!

Am I the only nakaskia, still in office but joto imekuwa too much. Thought mi ni msik. Kesho nashika fan…

1 Like

Safsana. Hoping it’s not gonna last.

Just wondering watu pale Wajir na marsabit wanatoboa aje na saa hizo wamedunga makanzu na mabuibui na pia hakunanga maji…

Mimi nalala nimevaa suti ya adam na fan on but naona fan inalemewa nitatafuta air con mzito inaweza fanya bedroom temperature ikue paermanently 10 degrees. Shida ni ukitoka hio room ya 10 degrees uingie kwa hii jua. But kuteseka ni kwa muda.

2 Likes

Niko na fan ile ya kusimama at the edge ya bed inazunguka ikinisafisha kibaridi 3 months now. Waks nilieka AC. I usually dont see need to heat up na kuna solutions za comfort

1 Like

Wallai…Kesho nashika fan. Inafanya niwe na a slight headache na blocked nasal cavities. Bored.

Hapo lazima unaskia fine kama sultan. I prefer cold whether na sio ya mvua. Njeve tu na si Ile ya ku drizzle. Hii situation ipite tu.

2 Likes

Fans give me flu like condition. Wear loose fitting clothes preferably white. Drink plenty of water.

1 Like

Kwetu kumenyesha na hewa ni safi

1 Like