Hii emoji imekaa kibabe sana bana!!!

dah me nashindwa kuweka emoji kila nikijaribu kutoka kwenye keyboard haitokei

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D
:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

Huyo MTU wa kijani anatuchafua roho tunakumbuka chama cha majipu

:D:D:D:D:D…

Upo shem,
Pacha wangu anaendeleaje aisee? Long time no see…!!!

nipo shemela, yupo hajambo kabisa
karibu ugenini

:D:D:D:D:D:D

Ni emoji ya kibabe kwa kweli haiko romantic hiyo ni kwa ajili ya wababe kama sisi.

:wink:

Kazi kwelikweli

Aiseee emoji ya kiduanz sana hyo