Hii clout chasing haikuwa calculated poa!

Huyu mjamaa angetaka that fame heri angeendelea na those other sports.

Jinger Sana!

1 Like

Some of these things are stupid. Ni kama zile ng’ombe mbili za kupanda sky scrappers zilianguka na kufa kama humbwer.

3 Likes

But huyu Jamaa ni ufala Tu,

He had skills to make himself a superstar,

Hii move yake ulikuwa ya ufala Sana.

2 Likes

tuwekee link mkuu tuone hao mafala

1 Like

Wekeni summary.

1 Like

Some Americans huwa very obsessed with getting famous to the point it becomes a dangerous mental illness. This pilot belongs to the group of weirdos who stalk celebrities

1 Like

Hio nyingine ntasaka nikipata time

1 Like

Weka part two Bana

Weka pahali alianguka na kunyuria

Msee amecheza GTA San Andreas sana.

1 Like

Joe Biden GIF by Election 2020

Hizo stuff ziko tu online lakini kuangalia binadamu menzangu akiumia hunishinda.