Highschool Dem days

Tulikuwa na shida sana wenye tulikuwa tunalala karibu na mlango,juu mattress zetu ilikuwa inachunwa na kutumika kama tissue paper.

Chances are, you hardened and now living far better and comfortable life than those who slept at the luxury cubicals.

What kind of fuckery is this?

Yes brother,lakini nikifikiria mattress quarter inaisha everyterm really hurts me,na wenye walikuwa wanafanya hivyo sahii ni ma lawyer,doctors,policy makers:D

Wacha upuzi boss,hata wewe ni kombamwiko ghaseer

Mattress inachunwa kupanguza kinyambis? Kwani ulisomea Auschwitz Birkenau?

Friends school zote za western. Na Ingotse boys included.

Sister school yenu ilikua hii
[ATTACH=full]362549[/ATTACH]

walianzia kule mashinani

Ingotse is my mum’s home. I have mad respect for boys who went through such schools

jirani nini husumbua wewe

:D:D:D

Nilistuka one day kuona my towel imegeuzwa duster luckily I had another one in primo mwigine alipata mattress yake 1/4 iko missing.

In my highschool wale walikuwa wanalala karibu na mpango were bed wetters

:smiley: Choo ya shimo ama flush? Coz you can’t flush hizo mattress. Secondly mattress itaweza kazi kweli, si afadhali zile matawi?

To diversify the question, do these objects cause rectal cancers later in life? What of the girl child who happens to have more issues? @Purple

Kenyan children go through a lot, which shouldn’t be the case.

Tulikua tuna chuna mattress kuoshea sahani
Since we didn’t have melamine plates. I used to have big plastic bowl neakewa top layer nakula naenda kulala class

@DMAN hope you’re not a D MAN literally,huh?:D:D

:D:D:D ukweli kabsa umenikumbusha mbali sana @Onewife Onebabymama

Umenimada leo. Sijaskia kama hio tena.

I recall my maths teacher wiping the board with wornout boxer